Skip to main content
Skip to main content

Uwanja wa Kwale stadium wachochea ukuzaji wa vipaji na ajira kwa vijana

  • | Citizen TV
    1,545 views
    Duration: 1:44
    Kufunguliwa kwa uwanja wa kisasa wa michezo wa Kwale STADIUM na Raisi William Ruto miaka miwili iliyopita wakati wa sherehe za mashujaa zilizoandaliwa katika kaunti ya Kwale, kumewapa vijana afueni ya kukuza talanta zzao na kutumia uwanja huo kwa shughuli za kuwaongezea mapato.