- 364 viewsDuration: 1:32Maendeleo ya Eneo Maalum la Uchumi la Makenji, Murang’a, yanaendelea kuimarisha shughuli za uzalishaji viwandani. Uzalishaji wa bidhaa katika eneo hilo umeelezwa kuwa na mchango katika kukuza uchumi na kuongeza fursa za maendeleo.