24 Jun 2026 10:35 am | Citizen TV 479 views Duration: 1:53 Kundi la kina mama wakiwemo wakunga wa kienyeji kutoka eneo la Hola wawalaumu wauguzi wa hospitali ya Hola kwa utepetevu baada ya mama mmoja kujifungulia sakafuni