Skip to main content
Skip to main content

Uzinduzi wafanyika katika shule ya msingi ya Osupuko, Kajiado

  • | Citizen TV
    375 views
    Duration: 3:17
    Visa vya watoto wa kike kukosa shule wakati wa hedhi au kupachikwa mimba kutokana na changamoto za umaskini zikiwemo kukosa visodo, zachangia ubunifu wa kuwasambazia wanafunzi visodo shuleni kwa kutumia mashine inayowahitaji kulipa shilingi kumi tu kupata bidhaa hiyo wakati wa hedhi. Uzinduzi wa kifaa cha kusambaza sodo kwa wanafunzi katika shule ya msingi ya Osupuko eneo bunge la Kajiado Magharibi walenga kuwasaidia wasichana kupata sodo kwa urahisi na kupunguza utoro unaosababisha visa vya mimba za mapema.