5 Jun 2026 10:09 am | Citizen TV 5,236 views Duration: 1:43 Watu 3, akiwemo mwanafunzi wa shule ya msingi ya Kibirigwi Ndia Kaunti ya Kirinyaga wafariki dunia kufuatia ajali katika eneo la Kibirigwi barabara kuu ya Karatina -Sagana