Skip to main content
Skip to main content

Vifo vitano baada ya mapigano ya ardhi Narok–Migori border

  • | KTN News
    251 views
    Duration: 2:01
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews Gavana wa Narok, Patrick Ntutu, amesisitiza kuwa serikali itafanya kila juhudi kuhakikisha eneo la Angata Barikoi katika eneo bunge la Trans Mara Kusini linapata amani ya kudumu. Eneo hilo linalopakana na Kaunti ya Migori limekuwa na migogoro ya mara kwa mara, ambapo jamii mbili zinazoshi katika kaunti za Narok na Migori zimekuwa zikigombania ardhi ya kilimo na malisho. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews