28 Aug 2026 10:48 am | Citizen TV 831 views Duration: 1:21 Vijana katika kaunti ya Trans Nzoia waandaa kongamano la siku moja katika eneo bunge la Cherang’any kujadili mustakabali wao, fursa za ajira na namna ya kushiriki kikamilifu katika ujenzi wa taifa.