- 11,111 viewsDuration: 2:28Viongozi wa vuguvugu la Linda Mwananchi walionusurika machafuko katika vurumai ya kaunti ya Homa Bay Jumapili sasa wanataka gavana wa kaunti hiyo na wahusika wote katika mashambulizi dhidi ya viongozi wao kujiuzulu mara moja kutokana na matukio ya kutamausha yaliyoshuhudiwa kaunti hiyo.