Skip to main content
Skip to main content

Vijana kutoka eneobunge la Nyaribari Chache wahimiza wenzao kujiandikisha kuwa wapigakura

  • | Citizen TV
    244 views
    Duration: 1:21
    Maelfu ya Vijana kutoka eneobunge la Nyaribari Chache chini ya Mwavuli wao wa Birongo Youth Empowerment wasema watafanya lile wawezalo kuhakikisha kuwa vijana wajiandikisha kama wapiga kura kwa idadi yao uchaguzi mkuu ukaribiapo