- 175 viewsDuration: 1:54Huku uchaguzi mkuu ukikaribia, vijana katika Eneo Bunge Cherang'any wameanzisha vuguvugu la kuhamasisha wenzao kuhusu uwezeshaji wa kiuchumi na umuhimu wa kudumisha amani. Wamewataka vijana kujiepusha na ukabila, uhalifu, matumizi ya dawa za kulevya, vurugu za kisiasa na vitendo vingine vinavyoweza kuhatarisha mshikamano wa jamii na mchakato wa uchaguzi.