Skip to main content
Skip to main content

Vijana wa eneo bunge la Lamu Magharibi washiriki zoezi la kuhifadhi ziwa Moa

  • | Citizen TV
    318 views
    Duration: 2:39
    Vijana kutoka maeneo mbalimabali ya eneo bunge la Lamu Magharibi, washiriki katika zoezi la kuhifadhi Ziwa Moa kwa kupanda miti na kusafisha ufuo wake. Kulingana nao ziwa hilo latelekezwa kwa miaka mingi ingawa ni kitega uchumi kikuu kwa wakazi wa Moa na viunga vyake