Skip to main content
Skip to main content

Vijana wa Nandi wapewa mafunzo ya kusimamia taka za kielektroniki

  • | Citizen TV
    179 views
    Duration: 2:21
    Huku taka za vifaa vya kielektroniki zikiongezeka kwa kasi na kutishia mazingira, vijana wa Kaunti ya Nandi sasa wanapewa mafunzo maalum ya kuzisimamia na katika hatua ambayo inalenga kulinda mazingira na kufungua fursa mpya za ajira.