22 Jul 2026 1:37 pm | Citizen TV 373 views Duration: 1:55 Vijana katika ukanda wa pwani wametakiwa kutumia nafasi zilizopo katika mfumo wa teknologia za kisasa ili kuzalisha ajira kupitia ujasirimali au kujihusisha na uhalifu.