- 162 viewsDuration: 1:30Maelfu ya vijana katika ukanda wa Pwani watarajiwa kunufaika na mpango maalumu ulengao kuwaelimisha kiteknolojia na kutoa nafasi ya wao kujiunga na ujasiriamali ili kugeuza mawazo bunifu kuwa biashara endelevu na kupanua fursa za ajira.