Skip to main content
Skip to main content

Vijana wafunga barabara kuu ya Namanga wakidai fursa za ajira

  • | Citizen TV
    2,740 views
    Duration: 2:20
    Shughuli za uchukuzi zilitatizika kwa saa kadhaa katika barabara kuu ya Namanga, karibu na mji wa Kajiado, baada ya mamia ya vijana kuifunga wakilalamikia kunyimwa fursa za ajira na baadhi ya wawekezaji wa kibinafsi.