Skip to main content
Skip to main content

Vijana wajitokeza kujiandikisha kama wapiga kura huku kampeni ya #NikoKadi ikifika Mombasa

  • | NTV Video
    10,266 views
    Duration: 2:57
    Baadhi ya vijana walikusanyika huko Mombasa chini ya vuguvugu la #TukoKadi, na kutembea hadi ofisi za tume huru ya uchaguzi IEBC kuwasajili vijana ambao hawakuwa wamejiandikisha kama wapiga kura. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya