28 Aug 2026 1:48 pm | Citizen TV 1,660 views Duration: 2:06 Vijana kutoka ukanda wa Lower Eastern wamejitokeza kukemea vikali tabia ya wenzao wanaolipwa na wanasiasa ili kuvuruga mikutano ya kisiasa.