- 243 viewsDuration: 2:07Vijana wametakiwa kuepukana na matumizi mabaya ya mitandao na badala yake kuitumia katika kubuni nafasi za ajira na kujiendeleza maishani. Akizungumza kule ndengelwa katika wadi ya bukembe west kaunti ya bungoma wakati wa uzinduzi wa kituo Cha kidijitali kilichoanzishwa na mwakilishi wadi Anthony lusenaka,gavana wa bungoma Ken Lusaka amesema kuwepo kwa kituo hicho ni mwamko mpya kwa ndoto za vijana katika kujiimarisha na kuinua uchumi wa eneo hilo.