- 189 viewsDuration: 2:11Vijana katika Kaunti ya Nyandarua wanatoa wito kwa viongozi kuwekeza katika ukuzaji wa vipaji vyao wakisisitiza kuwa kukuza ujuzi katika michezo, uchumi wa ubunifu na teknolojia ni muhimu katika kupunguza ukosefu wa ajira. Pia wamesema hii itasaidia vijana wengi kunjiepusha na shinikizo za uraibu wa dawa Za kulevya na unywaji wa pombe. Vijana hao wamewataka viongozi kutoa ushauri, msaada wa kifedha kwa uvumbuzi, na miundombinu bora kwa vijana.