20 May 2026 1:26 pm | Citizen TV 2,744 views Duration: 2:35 Vijana wawili waliuawa kwa kupigwa risasi na maafisa wa polisi mjini Busia County jana jioni katika makabiliano makali kati ya kundi la “Jobless” na maafisa wa usalama.