Skip to main content
Skip to main content

Vijana zaidi ya 200 washiriki mbio za amani eneo la Kipsing Isiolo

  • | Citizen TV
    294 views
    Duration: 2:37
    Vijana zaidi ya 200 kutoka kaunti za Isiolo, Samburu, Laikipia na Marsabit washiriki mbio za amani za kilomita 22 katika eneo la Kipsing, Kaunti ya Isiolo.