Skip to main content
Skip to main content

Vijana zaidi ya 300 wa jamii za wafugaji waungana kuhubiri amani Transmara

  • | Citizen TV
    288 views
    Duration: 3:37
    Zaidi ya vijana 300 kutoka jamii ambazo zimekuwa zikikabiliwa na uvamizi na wizi wa mifugo sasa wametangaza kuasi uhalifu huo na kuanzisha juhudi za maridhiano. Vijana hao kutoka jamii za Pokot, Turkana, Maasai na Samburu walijumuika pamoja huko Transmara kwa wiki moja ambapo walihamasishwa kuhusu umuhimu wa kudumisha amani. Vijana hao ambao wamekariri kuhusika pakubwa kwa visa vya wizi wa mifugo na vita vya kijamii sasa wameamua kuhubiri amani miongoni mwao na hata kufanikisha mchakato huo nyumbani.