Skip to main content
Skip to main content

Vijana zaidi ya 350 wafunzwa mbinu za kujitegemea Kilifi

  • | Citizen TV
    126 views
    Duration: 2:12
    Zaidi ya vijana 350 kutoka kaunti ya Kilifi wanufaika na mpango wa mafunzo ya ujuzi wa kujiendeleza kutoka kwa mradi wa Kenya Informal Settlement Improvement Project( KISIP) mafunzo yakamilikiayo baada ha siku 45.