Skip to main content
Skip to main content

Vikundi vya akina mama Magadi vyanufaika na mpango wa ufugaji

  • | Citizen TV
    120 views
    Duration: 1:24
    Vikundi kumi na moja vya kina mama kutoka maeneo mbalimbali ya Magadi, Kajiado Magharibi, vimepokea mifugo na vifaa vya kusaidia shughuli zao za kiuchumi, kupitia Mpango wa ufugaji Mifugo.