- 562 viewsDuration: 4:54Violet Chanya amekuwa akiwahudumia watoto kutoka jamii maskini kwa kuwapa chakula na hata wengine kupewa mafunzo ya kompiuta bila malipo katika kaunti ya Taita Taveta. Violet kupitia kituo chake cha watoto cha Mvono huko Wundanyi amegusa maisha ya wengi akiendelea kuinua jamii na leo ndiye tunayemvisha taji la Mwanamke Bomba