Skip to main content
Skip to main content

Viongozi 20 wa kike wamsifu Rais Ruto kwa miradi ya maendeleo

  • | Citizen TV
    1,220 views
    Duration: 2:18
    Viongozi 20 wa kike wanaomuunga mkono Rais William Ruto, wakiongozwa na Mbunge wa Teso kusini, Mary Emaase, wamepongeza utendaji wa Rais wakisema amefanikisha miradi mingi ya maendeleo katika kipindi cha miaka minne iliyopita.