Skip to main content
Skip to main content

Viongozi kaunti ya Homa Bay wataka vijana wapewe ajira

  • | Citizen TV
    170 views
    Duration: 3:43
    Viongozi mbalimbali kutoka kaunti ya Homabay wanaendelea kukemea visa vya wahuni kutumiwa kuvuruga amani hasa katika mikutano ya kisiasa.. viongozi hao akiwemo seneta wa Homa bay Moses kajwang wamedokeza kwamba ni sharti njia mbadala ibuniwe kusaidia vijana kukimu mahitaji yao ya kila siku ili kupunguza visa hivyo.