Skip to main content
Skip to main content

Viongozi kutoka Bangale kaunti ya Tana River wataka serikali ifanye msako wa silaha haramu

  • | Citizen TV
    1,569 views
    Duration: 1:39
    Viongozi wa jamii mbalimbali kutoka Bangale kaunti ya Tana River wataka idara ya usalama kufanya msako wa silaha haramu kwenye kaunti hiyo baada ya mapigano ya kijamii kuzuka tena.