28 Sep 2026 10:31 am | Citizen TV 574 views Duration: 1:52 Viongozi kutoka Garissa wanaitaka tume ya kuajiri walimu TSC kuwapa ajira kundi la kwanza la walimu wanaotarajiwa kuhitimu kutoka chuo cha walimu cha Garissa mwezi ujao.