Skip to main content
Skip to main content

Viongozi kutoka Kajiado waitaka serikali kushughulikia malalamishi yao kuhusu kampuni ya Tata

  • | NTV Video
    160 views
    Duration: 1:59
    Viongozi wa kaunti ya Kajiado wameitaka serikali kushughulikia malalamishi yao ya muda mrefu kuhusu shughuli za kampuni ya ‘Tata Chemicals Magadi’ huku mazungumzo yakiendelea kuhusu uwezekano wa kampuni hiyo kurejelea shughuli zake. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya