Skip to main content
Skip to main content

Viongozi kutoka Kaunti ya Baringo waitaka wizara ya elimu kutatua pepo wa mafuriko Baringo

  • | NTV Video
    151 views
    Duration: 2:23
    Viongozi kutoka Kaunti ya Baringo wameitaka Wizara ya Elimu kutenga fedha za dharura kutoka kwenye bajeti ya kitaifa iliyotolewa ili kusaidia shule zilizoathiriki na mafuriko kutokana na kuongezeka kwa kina cha maji katika Maziwa ya Baringo na Bogoria . #NTVWikendi @MwakaFridah @loftymatambo Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya