Skip to main content
Skip to main content

Viongozi kutoka Kaunti ya Kajiado waitaka serikali kuu kutoa fedha za ufadhili wa elimu kwa wakati

  • | Citizen TV
    269 views
    Duration: 3:29
    Viongozi kutoka Kaunti ya Kajiado waitaka serikali kuu kutoa fedha za ufadhili wa elimu kwa wakati ili kuwezesha shule kuendesha shughuli zake bila changamoto. Viongozi hao wazungumza wakati wa hafla ya kuzindua ujenzi wa jumba la matumizi mbalimbali katika Shule ya wavulana ya Oloolaiser, mradi ufadhiliwao na serikali ya Kaunti ya Kajiado.