Skip to main content
Skip to main content

Viongozi Marsabit wapongeza hatua ya serikali kutupilia mbali ujenzi wa kambi ya usalama

  • | NTV Video
    1,325 views
    Duration: 2:03
    Viongozi kutoka kaunti ya Marsabit wamepongeza hatua ya serikali kutupilia mbali ujenzi wa kambi ya asasi mbalimbali za kiusalama uliokumbwa na utata katika eneo la Tiitu kaunti ndogo ya Moyale. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya