- 3,877 viewsDuration: 2:50Viongozi wa kundi la linda mwananchi hii leo wamemsuta kinara wa odm Oburu Oginga, kwa madai ya kukiuka maadili ya chama hicho na kupuuza azimio la hayati Raila Odinga. Wakizungumza katika kaunti ya vihiga hii leo, viongozi hao walisema kuwa hawatambui mazungumzo yoyote na chama cha uda. Aidha, James Orengo aliyejitwika taji la kinara wa chama hicho alisema kuwa sharti chama cha ODM kiwe na mgombea wa urais katika uchaguzi mkuu ujao..