- 573 viewsDuration: 2:38Viongozi mbalimbali wakiwemo viongozi wa makanisa kaunti ya Homa bay washtumu vikali visa vya mara kwa mara vya vijana kutumiwa kuzua rabsha kwenye mikutano ya siasa. Kulingana nao, uhuni huo usipodhibitiwa, huenda ukalitumbukiza taifa katika lindi cha machafuko.