- 181 viewsDuration: 2:49Viongozi wa kidini chini ya mwavuli wa IRCK wawataka vijana kususia ajira ambazo huwashawishi kuzua vurugu na badala yake kueneza jumbe za uwiano. Baraza hilo ambalo latoa mafunzo maalum lalenga vijana kutoka kaunti za Kisumu na Marsabit, ambapo kumekuwa na athari ya vurugu katika siku za hivi punde.