7 Sep 2026 1:35 pm | Citizen TV 378 views Duration: 58s Viongozi wa dini katika Kaunti ya Uasin Gishu wamewataka wanasiasa kuhubiri amani, umoja na mshikamano miongoni mwa wananchi. Wameonya dhidi ya siasa zinazoweza kuchochea migawanyiko na kuvuruga amani nchini.