- 337 viewsDuration: 1:37Wajumbe wa muungano wa dini mbalimbali katika kaunti ya Nyandarua County wametoa wito wa amani kuelekea uchaguzi mdogo wa eneo bunge la Ol Kalou uliopangwa kufanyika Alhamisi, tarehe 16.Viongozi hao wa dini wamewahimiza wakazi kudumisha utulivu, kuheshimu tofauti za kisiasa na kushiriki uchaguzi kwa amani ili kuhakikisha mchakato wa kidemokrasia unafanyika bila vurugu.