Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa dini wakosoa tamasha la Summertide Malindi

  • | Citizen TV
    7,443 views
    Duration: 1:35
    Viongozi wa dini mjini Malindi wamekosoa tamasha la vijana la Summertide lililofanyika mjini humo wakisema lilisheheni vitendo vya utovu wa maadili.Viongozi hao wametoa wito kwa waandalizi wa hafla za burudani kuhakikisha shughuli zao zinazingatia maadili ya jamii na kulinda ustawi wa vijana