- 3,603 viewsDuration: 1:42Viongozi wa chama cha Jubilee wamemtetea rais mstaafu uhuru kenyatta kuhusu madai kwamba fedha alizotoa hazikuwafikia ma-ajenti wa muungano wa azimio katika uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2022. Haya yanajiri huku seneta wa Migori Eddy Oketch akiondoa hoja ya kutaka kumtimua Edwin Sifuna kama katibu mkuu wa ODM