- 1,042 viewsDuration: 2:49Viongozi wa dini na viongozi wa jamii katika kaunti ya Kajiado wahimiza vijana kudumisha amani na kujiepusha na vurugu wakati wa maandamano. Viongozi hao wamesisitiza kuwa haki ya kuandamana ni ya kikatiba, lakini inapaswa kutekelezwa kwa njia ya amani, kwa kuzingatia sheria na kuheshimu mali ya wananchi ili kulinda usalama na mshikamano wa jamii.