Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa kanisa wataka upinzani usitishe maandamano dhidi ya bei ghali ya mafuta

  • | Citizen TV
    769 views
    Duration: 1:55
    Viongozi wa kanisa kutoka kakamega wamewataka viongozi wa upinzani wasitishe mipango ya kuandaa maandamano ya kupinga ongezeko la bei ya mafuta nchini. Akizungumuza huko Butere katika hafla ya kumtawazwa askofu wa kanisa la Here Am I Ministry, mwenyekiti wa muungano wa makasisi eneo la Magharibi Samuel Manyoni amesema maandamano yanaweza kusababisha ghasia na hata kuathiri uchumi .