- 99 viewsDuration: 1:26Ili kuhakikisha wakazi wa kaunti ya Nyeri wanufaika kikamilifu kutoka kwa viongozi wanaohudumu serikalini kutoka kaunti hio, Katibu wa wizara ya Jumuiya ya Afrika mashariki Caroline Karugu, awataka viongozi kutoka kaunti hio kuweka tofauti zao za kisiasa kando.