Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa Kenya Kwanza waipigia debe serikali Magharibi

  • | Citizen TV
    521 views
    Duration: 1:36
    Siku chache baada ya baadhi ya viongozi wa Magharibi kutangaza kumuunga mkono Seneta wa Nairobi, Edwin Sifuna, kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao, wabunge wa Kenya Kwanza kutoka eneo hilo waanza kampeni ya kuhimiza wakazi kuendelea kuiunga mkono serikali .