Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa Kenya Kwanza wamtetea Ruto, wakiwataka wapinzani wamngoje debe

  • | Citizen TV
    907 views
    Duration: 1:28
    Baadhi ya viongozi wanaounga mkono serikali sasa wanasema hawatakubali Rais William Ruto kukosewa heshima na baadhi ya viongozi wa upinzani, wakisema iwapo wanataka kumkabili Rais, basi wamngoje debeni katika uchaguzi mkuu mwaka ujao. Wakiongozwa na Waziri wa Nishati Opiyo Wandayi, viongozi hao wameendelea kumpigia debe Rais Ruto kuchaguliwa kwa awamu ya pili. Walizungumza katika hafla ya kusaidia vikundi vya kina mama eneo la Bonchari, kaunti ya Kisii.