Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa Kenya Kwanza wapigia debe serikali Magharibi

  • | Citizen TV
    617 views
    Duration: 1:39
    Viongozi wa Kenya Kwanza wameendeleza kampeni za kuhimiza uungwaji mkono kwa Rais William Ruto katika eneo la Magharibi mwa nchi. Wakiongozwa na Gavana wa Bungoma, Kenneth Lusaka, viongozi hao wamewataka wakazi wa Kakamega kuunga mkono miradi ya maendeleo ya serikali. Wakizungumza katika eneo bunge la Shinyalu, walizindua Shule ya St. Gerald Shanjero na kukabidhi shule mbalimbali za Shinyalu ufadhili wa shilingi milioni 25 kutoka kwa Rais William Ruto kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya shule.