Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa Kenya Kwanza wapuuza juhudi za upinzani

  • | Citizen TV
    3,346 views
    Duration: 3:28
    Viongozi wanaounga mkono utawala wa Kenya Kwanza chini ya mwavuli wa serikali jumuishi hii leo waliendelea kumshambulia Rais mstaafu Uhuru Kenyatta na muungano wa upinzani, wakisema jitihada zao za kuhujumu utawala wa Rais William Ruto zitaambulia patupu.