Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa kidini na vijana wakemea uhuni Kakamega

  • | Citizen TV
    707 views
    Duration: 1:47
    Viongozi mbalimbali wakiwemo wa kidini katika kaunti ya kakamega wakashifu na kushtumu vikali visa vya vijana kutumika kuzua vurugu katika mikutano ya hadhara huku wanasiasa wakilaumiwa kuchochea vijana hao kwa kuwapa pesa za kuzua rabsha.