Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa kidini wakemea visa vya utekaji nyara, wataka amani

  • | Citizen TV
    220 views
    Duration: 1:34
    Viongozi wa kidini wamekemea vikali visa vya madai ya utekaji nyara wa vijana vilivyoripotiwa wakati wa maandamano ya wiki iliyopita. Wakizungumza katika kongamano la wahubiri lililofanyika katika Kanisa la PEFA Amuranje, eneo bunge la Butere, viongozi hao waliwataka wanasiasa kuhubiri amani, kudumisha mshikamano wa kitaifa na kujiepusha na kauli zinazoweza kuchochea migogoro na kuvuruga utulivu wa nchi.