Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa kike kutoka bonde la ufa wataka shule ziache kuzuia vyeti vya wanafunzi shuleni

  • | Citizen TV
    1,306 views
    Duration: 2:01
    Baadhi ya viongozi wa kike kutoka bonde la ufa miongoni mwao wake wa magavana wasisitiza umuhimu wa kuwapa watoto wa shule haswa wasichana vyeti vya kumaliza shule katika kidato cha nne licha ya kuwa na masalio ya karo.